Categories

Nafasi 492 za kazi za Madaktari Daraja la II (Medical Officer Grade II), Serikali ya Tanzania imetangaza nafasi 492 za kazi za Daktari Daraja la II (Medical Officer Grade II) kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Tangazo hili, ...