Jinsi ya Kuomba Kazi Jeshi la Magereza Tanzania,Jeshi la Magereza Tanzania ni moja ya taasisi muhimu za Serikali inayohusika na usimamizi wa magereza, ulinzi wa mahabusu na wafungwa, utekelezaji wa majukumu ya kurekebisha tabia, pamoja na majukumu mengine yanayohusiana na ...