Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Chunya 2026,Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imetangaza nafasi mpya za kazi kwa Watanzania wenye sifa zinazohitajika katika kada mbalimbali za utumishi wa umma. Tangazo hili ni miongoni mwa matangazo mapya ya ...